Psalms 119:22-23

22 aNiondolee dharau na dhihaka,
kwa kuwa ninazishika sheria zako.
23Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia,
mtumishi wako atatafakari juu ya maagizo yako.
Copyright information for SwhNEN